Gari BMW X3 tatizo lishalekebishwa lakini Taa inaendelea kuwaka

Gari BMW X3 tatizo lishalekebishwa lakini Taa inaendelea kuwaka

Hakunielewa, nilimwambia hiyo taa ipo sababu ya tairi. Iwapo sensor ni nzima basi tairi ndo mbovu. Na kwasababu tunajifahamu watanzania tairi zetu tunabadili kwa kuangalia kashata huenda kweli tairi zina shida.
Abadilishe tairi bwana aache usanii, watu wakinunua rav 4 mnawaona washamba. Afate masharti ya BMW inavyotaka tairi moja ya pirelli ni laki 6 tu sio hela nyingi sana.
 
Kama ni mombasa ya Dar ingia hata insta tafuta fundi yoyote mwenye diagnostic mashine.

Me nimetoka naingia mkoa one time. Ningekuwepo ningekuangalizia ishu yako.
Mkuu, na hyo button kazi yake ni gani?
Screenshot_20221209-104927.jpg
 
Back
Top Bottom