gari bovu halivuti gari bovu!

Kama utanihonga zaidi ya Asprin mi sina hiyana ujue.
Manta hofu ila hujafilisika kweli???
 
Last edited by a moderator:
Kama utanihonga zaidi ya Asprin mi sina hiyana ujue.
Manta hofu ila hujafilisika kweli???
Khaa! Kama unataka uingie choo cha kiume, jaribu hiyo mutu. Mwanaume gani anahonga biskuti na soda afu anataka umlipe naniliyu tena akiwa ruum kwako? Hela ya gesht haush eti ndo anakutoa nayo. Afu we unajua kile ki Cami nlichokuagizia kishatia timu bandarini? Hapa namalizana na TRA tu. Utaikuta kwenye kile kibanda cha room nne nlichokuangushia pale Mbezi beach.
 

thats my buzi nakupendajeeeeeeeeeeeee.
Mziki wako mnene siyo wengine humu wakihonga sana nokia asha ya laki na nusu.
CC: Filipo na Bishanga.
 
Last edited by a moderator:

thats my buzi nakupendajeeeeeeeeeeeee.
Mziki wako mnene siyo wengine humu wakihonga sana nokia asha ya laki na nusu.
CC: Filipo na Bishanga.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga kawa biskuti tena za marie akitiwa kinywaji tu anayeyuka,amu ukienda kwa Bishanga atakuhonga pichu tu
 

we mzee unanitafutia nini....tulia subiri ufeeee....usicheze upande wangu bhanaaaaaaa ntakuwaisha....huyo nivea ndo nani kwanza....
 
Last edited by a moderator:
Ina maana mpaka leo hujui hilo jambo Arabela? Mbona hata pilau tushakula siku nyingi? Muulize Mamndenyi na Madame B.


bado unanifata fata jamaa.....we si mbabe...wa Pm....kaaa mbali aiseee....nipo kimya najari yangu na ya arabela we tamba hizo tambo zako zinaheasbika....nikianza kumwga madudu yako hapa.....
 
Last edited by a moderator:
wambie kukaa kimya si kutokujua kuongea.....hayo majungu yao wakimaliza wani pm....nimwage siri zao mmoja baada mwingine....mi sijawahi ona wanaumbe wambeya bhanaaaaaaa

mmemsikia my hubby asemavyo?
 
thats my buzi nakupendajeeeeeeeeeeeee.
Mziki wako mnene siyo wengine humu wakihonga sana nokia asha ya laki na nusu.
CC: Filipo na Bishanga.
amu bora nokia asha kuliko kuhongwa nokia 3310 eike ei jeneza.
 
Last edited by a moderator:

Nimekuelewe sana Mkuu. Na wote tunaelekea uzeeni ila hapo ulipomtaja my wife wangu mpz, marejesho ndio umeharibu show nzima. Ebu jipange upya urudi.
 
Last edited by a moderator:
Nasubiri Baba V arudi na mie nitangaze nia, aah! kila siku nyie tu?
 
Last edited by a moderator:
umenikumbusha mbaaali kuna msichana nilimtaka akaniambia 'aka ujana ule na nani uzee uje kunifia kifuani?',nilichoka kabisa

Ndo nami nakushangaa unavotafuta binti, wa kumfia hapa!!!!!!
 
Nilianza kuimba toka mdoo,sasa nimekuwa sio tena mdogo,
kaa pembeni e bwa mdogo,
ngoja mike yenyewe moja,kila mmoja hataki kungoja ,kila mmoja anataka namba moja,,,


Nasubiri Baba V arudi na mie nitangaze nia, aah! kila siku nyie tu?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…