Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Jun 3, 2010 #1 Five doors, ya mwaka 1994, Ipo barabarani yaani ina hali nzuri na njema. bei si chini ya milioni 8.5 piga simu namba 0715 69 45 21 picha bado kuwekwa hapa nafanya mpango wa kuziupload unaweza kuliona
Five doors, ya mwaka 1994, Ipo barabarani yaani ina hali nzuri na njema. bei si chini ya milioni 8.5 piga simu namba 0715 69 45 21 picha bado kuwekwa hapa nafanya mpango wa kuziupload unaweza kuliona
Njaa JF-Expert Member Joined Dec 6, 2009 Posts 1,022 Reaction score 412 Jun 4, 2010 #2 Msanii said: Five doors, ya mwaka 1994, Ipo barabarani yaani ina hali nzuri na njema. bei si chini ya milioni 8.5 piga simu namba 0715 69 45 21 picha bado kuwekwa hapa nafanya mpango wa kuziupload unaweza kuliona Click to expand... Picha kwanza mkuu, tunataka !!
Msanii said: Five doors, ya mwaka 1994, Ipo barabarani yaani ina hali nzuri na njema. bei si chini ya milioni 8.5 piga simu namba 0715 69 45 21 picha bado kuwekwa hapa nafanya mpango wa kuziupload unaweza kuliona Click to expand... Picha kwanza mkuu, tunataka !!
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Jun 8, 2010 Thread starter #3 picha bado kutumiwa ila ukitaka kuliona bofya namba niliyotoa hapo juu
locust60 Senior Member Joined Oct 1, 2008 Posts 101 Reaction score 12 Jun 8, 2010 #4 mkuu hapo kuna gari kweli ama usanii kama jina lako:fish2:
HarusiYetu JF-Expert Member Joined Oct 28, 2009 Posts 458 Reaction score 10 Jun 23, 2010 #5 Du hiyo bei kama ya mpya kwani mpya ni 15... so sijui tangu 94 hadi sasa iko katika hali gani au iko yard?
Du hiyo bei kama ya mpya kwani mpya ni 15... so sijui tangu 94 hadi sasa iko katika hali gani au iko yard?