GARI Escudo sokoni

GARI Escudo sokoni

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Five doors,
ya mwaka 1994,
Ipo barabarani yaani ina hali nzuri na njema.
bei si chini ya milioni 8.5
piga simu namba 0715 69 45 21

picha bado kuwekwa hapa nafanya mpango wa kuziupload
unaweza kuliona
 
Five doors,
ya mwaka 1994,
Ipo barabarani yaani ina hali nzuri na njema.
bei si chini ya milioni 8.5
piga simu namba 0715 69 45 21
picha bado kuwekwa hapa nafanya mpango wa kuziupload
unaweza kuliona

Picha kwanza mkuu, tunataka !!
 
picha bado kutumiwa ila ukitaka kuliona bofya namba niliyotoa hapo juu
 
mkuu hapo kuna gari kweli ama usanii kama jina lako:fish2:
 
Du hiyo bei kama ya mpya kwani mpya ni 15... so sijui tangu 94 hadi sasa iko katika hali gani au iko yard?
 
Back
Top Bottom