OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wakuu wajuzi wa JF,naombeni mnishauri mimi na wadau wengine watajifunzia hapa. Mwaka jani niliagiza Chaser GX 100,C.C 2300 ya kuanzia maisha,kiukweli nilikurupuka sana wadau.Wese lilikuwa linachuruzika balaa,sometimes nalazimika kupaki! Sasa naja kwenu kwa unyenyekevu kijana wenu mnipe ushauri ni gari gani poa ya kifamilia inayofaa,in terms of spare parts na fuel consumption.Nina bajeti ya Shs.8,000,000!Asanteni wadau
Zipo nyingi Toyota IST cc 1300/1500, Toyota CarinaTi cc 1500, Toyota Runx cc 1500, Toyota Allex cc 1500 ila kama unaweza ogeza kama 2mln chukua Toyota Allion 1500cc. Hizo zote mjini kwenye foleni zinakula 1ltr/11km na highway ni 1ltr/16km.

Kwa fuel consumtion kuna ist CC 1300 au Vitz new Model CC 990.haya yanasevu sana gharama za mafuta .
Mkuu tafuta Carina Ti. Huwezi kuamini niliweka full tank lita 50 kutoka moshi nimefika dar bado mafuta yapo juu ya robo tank. Ti ni cc 1490hiyo Vitz new model umenishawishi,ila ina space?tofauti na hivi vya kila mtu
Mkuu tafuta Carina Ti. Huwezi kuamini niliweka full tank lita 50 kutoka moshi nimefika dar bado mafuta yapo juu ya robo tank. Ti ni cc 1490
Usije kununua carina Si
Mkuu naomba unieleweshe tofauti iliyopo kati ya Ti Na Si kwenye Carina.
Gari nyingine nzuri ni corrola NZE 121 ni nzuri Na fuel consumption.. iko chini sana.
Mkuu tafuta Carina Ti. Huwezi kuamini niliweka full tank lita 50 kutoka moshi nimefika dar bado mafuta yapo juu ya robo tank. Ti ni cc 1490
Usije kununua carina Si
Kama una familia ya kiarabu mkuu nunua voxy inabeba wote mpaka dada yao