Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila siku huwa najiuliza maana ya Hiki ulichoposti..Subiri wataalam watakuja.
Naomba kuuliza na mm hapa bei ya sokoni ya hili toleo ulilolitaja mkuuMkuu hayo yote magari yaliyotanjwa hakuna hata moja family car mkuu. Gari ya family na ambayo inaimili halisi ya barabara za kwetu na spears zake zinapatikana kwa urais na pia ni rais sana kuliuza kama umechoka kulitumia .lipo sokoni sana mkuu ni Toyota Noah model 1999.hii car sisi macardeal tunaiita roho ya paka ni gari ngumu sana na hata mafuta inatumia vizuri sana
Mbona Passo hujaitaja,tena hiyo ina nafasi ndani kuliko hata hiyo IST ukitupia wese la 20,000/= unasahau !!!
Mkuu hayo yote magari yaliyotanjwa hakuna hata moja family car mkuu. Gari ya family na ambayo inaimili halisi ya barabara za kwetu na spears zake zinapatikana kwa urais na pia ni rais sana kuliuza kama umechoka kulitumia .lipo sokoni sana mkuu ni Toyota Noah model 1999.hii car sisi macardeal tunaiita roho ya paka ni gari ngumu sana na hata mafuta inatumia vizuri sana
TOYOTA CAMRY CC 2390, ADB-CV40 VVTI.
Passo ya mwaka huu ni zaidi ya babywalker zote hapa mjini, katamu mno i wish wengi mukaonePasso haina Mvuto jamani..... uwwwiiiii!!!
Duh cc990 bado utakuta mtu anaweka mafuta ya videbe.Kwa fuel consumtion kuna ist CC 1300 au Vitz new Model CC 990.haya yanasevu sana gharama za mafuta .
Wakuu wajuzi wa JF,
Naombeni mnishauri mimi na wadau wengine watajifunzia hapa. Mwaka jani niliagiza Chaser GX 100,C.C 2300 ya kuanzia maisha,kiukweli nilikurupuka sana wadau.
Wese lilikuwa linachuruzika balaa,sometimes nalazimika kupaki! Sasa naja kwenu kwa unyenyekevu kijana wenu mnipe ushauri ni gari gani poa ya kifamilia inayofaa,in terms of spare parts na fuel consumption.
Nina bajeti ya Shs.8,000,000!
Asanteni wadau