Gari gani poa ya ''kifamilia?''

Hiyo GX100 ungenunua yenye VVTI usingeumia mafuta. Mimi ninayo nikisafiri natumia lita moja kwa Km12. Anyway tafuta Toyota Raum kama mdau alivyokushauri hapo juu.
 
Kama hajanunua tokea halivyopost huu uzi, hawezi tena, huyu kijana si yupo tabora, Kama si Igunga au Nzega...
 
Naomba kuuliza na mm hapa bei ya sokoni ya hili toleo ulilolitaja mkuu
Ikiwa showroom na kama namvua mtu inakuwaje
 
Showroom mkuu inaanzia ,12mil mpaka 16mil .kwa mtu mkonon inaanzaia 7mil mpaka 12mil
 
Reactions: MC7
Kama familia kubwa nunua toyota wish cc 1800 vvti engine. Mm kwa sasa nimeagiza corolla axio 1500cc CVT engine hizo za 4AT nimezipa kisogo kwanza. Tatizo wabongo na cc hatutak kujaribu mambo mapya kila cku kuigana tu
 

Toyota wish ni kubwa na ina seat 7 kwa familia ni sawa maana reeeefu alafu unywaji wa mafuta ni mdogo sana huwezi fananisha na hiyo noah
 
Mshaurini huyo mkuu achukue Leyland itafaa kwa familia, spare zake zinapatikana England. Familia watafurahia hasa ukipa Leyland Albion cc 5600
 

Hapo zote gari wametaja ila hii ndio gari ya wewe kununua,bonge la family car 7 seater, cc1790 vvt-i inakamua 35ltrs Moshi-Dsm full kipupwe inakwenda kwa jina la Toyota Isis:







 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…