Gari gani poa ya ''kifamilia?''

Wanasema gari yenye zaidi ya miaka 10 huwa inatozwa gharama zaidi inapoingizwa nchini.Sasa utajuaje kuwa hili gari ni la zamani limezidi miaka kumi.?
 
Wanasema gari yenye zaidi ya miaka 10 huwa inatozwa gharama zaidi inapoingizwa nchini.Sasa utajuaje kuwa hili gari ni la zamani limezidi miaka kumi.?
Assumption ni kuwa unaagiza gari nje ya nchi, wauzaji huwa wanaweka mwaka wa gari ilipotengenezwa na mwaka wa gari iliposajiliwa, kwa hiyo wewe angalia mwaka wa ilipotengenezwa...kwa kurahisisha hata tangazo la gari huwa linaanza na mwaka wa gari ilipotengenezwa, mfano "2006 Toyota iSt ..." , na likifika watu wa bandari wanalikagua kwa kuangalia vibandiko kwenye mikanda (seat belts) ambapo mwaka wa gari kutengenezwa huandikwa na pia wanaangalia VIN (vehicle identification number) ambayo hata wewe unaweza kuangalia kupitia website mbalimbali kujihakikishia kama gari hilo ni la mwaka unaotajiwa na muuzaji...ila njia rahisi ni hiyo ya kuangalia prescription iliyotolewa na muuzaji (wengi wanatoa exact date kuepuka kitu kinaitwa misrepresentation)
 
Bei yake inakuwaje kwa kima cha juu na cha chini?
 
Mkuu tafuta Carina Ti. Huwezi kuamini niliweka full tank lita 50 kutoka moshi nimefika dar bado mafuta yapo juu ya robo tank. Ti ni cc 1490
Usije kununua carina Si
N kweli kabisa,,, mm nilitumia hivyo xmas ya mwaka juz
 
Huna jinsi kwa bajeti yako hii chukua hiii garii... Angalau kwa familia zetu za kiafika na .... Ila usiwe mtu wa kufunguka sana kwenye kona na hii gari ... Tutakusahau mkuu [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Reactions: MC7
Hivi bado mnatoa tu ushauri kwenye hii post ya mwaka 2014??
ha ha haa kweli aisee, ila kuna wengine wanataka kununua gari leo kwa hiyo kwa faida yao ndio ushauri unendelea kutolewa
 
Na bado utsendelea mpaka magufuli amalize muda wake 2020.
 
Zipo nyingi Toyota IST cc 1300/1500, Toyota CarinaTi cc 1500, Toyota Runx cc 1500, Toyota Allex cc 1500 ila kama unaweza ogeza kama 2mln chukua Toyota Allion 1500cc. Hizo zote mjini kwenye foleni zinakula 1ltr/11km na highway ni 1ltr/16km.
Mkuu Kibirizi, Toyota Allion kutoka Japan to Dar hadi ninaishika mkononi inaweza kunila bei gani?
 
TOYOTA ALPHARD ni gari zuri sana kwa matumizi ya kifamilia hasa ya kiafrica,tatizo bei yake bado ipo juu kidogo,pia ina engine nzuri za 2AZ cc 2360 ....Lakini tahadhari zipo zingine zina engine kubwa cc3000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…