Gari gani poa ya ''kifamilia?''

Goma zuri ni Toyota Alphard, utadhani uko first class ya ndege
 
Goma zuri ni Toyota Alphard, utadhani uko first class ya ndege
Bei ya Alphard ni around 24 million used from Japan!! mwenzio kasema bajet yake milioni 8 sasa ww sijui unaropoka vitu gani?? Muda wote umekula maharage ya wapi ww kiumbe??
 
Bei ya Alphard ni around 24 million used from Japan!! mwenzio kasema bajet yake milioni 8 sasa ww sijui unaropoka vitu gani?? Muda wote umekula maharage ya wapi ww kiumbe??
hahahahah maharage ya Iringa. Najua bajeti yake ni ndogo, ila ni moja ya gari makini sana kwa familia, hasa kwa wanawake
 
Reactions: MC7
Wataalam vipi kuhusu honda mobilo spike? Kwa anayeielewa atujuze
 
Tafa toyota porte mkuu nakikubali sana kuna kijana angu anayo kiko poa sana
 
Mkuu samahani,nimejaribu kuingia Befoward na kufanya bargaining,wasiwasi wangu gani itakuja nzima,mwenye experience please

Inafika ila inabidi upate msaada kwa watu wenye uzoefu kama sisi maana kuna terminologies inawezekana hutazielewa na lazima ujue regulation wakati wa importation. Kama vile inspection usisahau kuwaambia wa cover..
 
Gari nzuri kwa family ni moja tu duniani,Double cabin...tena ukipata hard body pesa unayo?
 
Reactions: MC7
Aagiza mwenyewe Japan anapata bei mzuri tu ila yard za bongo wanahasira...na madalali wengi sana kwenye Yard zetu
ukiagza mpk inaingia barabaran inagharimu kiasi gn?ipo chini chini sn vp inawezekana kuinua uu kidg?
Fuel consumption yke ukilinganisha na Noah au Isis?
Utakua umensaidia sn kufnya uamuz.
 
TOYOTA ALPHARD ni gari zuri sana kwa matumizi ya kifamilia hasa ya kiafrica,tatizo bei yake bado ipo juu kidogo,pia ina engine nzuri za 2AZ cc 2360 ....Lakini tahadhari zipo zingine zina engine kubwa cc3000.
Mkuu kwa matumiz ya apa town na trip chache country side vp inafaa?naikubal hii gari ingawa ipo chini chini sn.
Vp Fuel consumption ukilngansha na Noah?
 
Unapomshauli angalia na Bajeti yake, sidhani kama hatamani Kluger, Rav 4 Miss Tanzania, Van guard, na Wanyama wengine ila hali hairuhusu.
 
Hiyo Toyota Noah anaweza kuipata kwa 8,000,000 Watu wanamshauri kulingana pesa aliyokua nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…