Gari gani ya mitsubishi ni nzuri kutembelea

Gari gani ya mitsubishi ni nzuri kutembelea

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
eti wakuu kwa hizi gari za familia za kutembelea ipi ni gari nzuri ya mitsubishi?
 
ushuru unakuwaga sawa tu na hiyo bei unayomlipa mjapan
Screenshot_20250128_151541_Chrome.jpg

Naona mule mule tu, 8m hv.

Gari nimeipenda sana hii, imebalance kuanzia body hadi engine size.
 
ni kweli mkuu.
naunga mkono
🤝🤝
vipi unaionaje Pajero io?
Pajero hizi old model na model ya kati hapa sizikubali sana sababu ya muundo/shapa yake ila nasikia ziko imara. Labda matoleo mapya kuanzia 2020 body inamwonekano mzr japo napo bei imesimama sana
 
Back
Top Bottom