Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 697
- 1,474
Una bei gani....nikuletee gari ya umeme?Gari gani zuri dogo dogo la kufanyia mizunguko hapa mjini
Ukinzingaria mambo kama ya ulaji wa mafuta na pia urahisi wa kujipenyeze, vipuli etc
Range Rover au Mercedes Benz new Model.Gari gani zuri dogo dogo la kufanyia mizunguko hapa mjini
Ukinzingaria mambo kama ya ulaji wa mafuta na pia urahisi wa kujipenyeze, vipuli etc
Kwenda Haja Kubwa ( Kuukweka ) kuwe ni mara kwa mara.Kuanzia maisha ndio nini?
gari pendwa la watafutajiHapo ni IST.
akipata kompressa itapendezaRange Rover au Mercedes Benz new Model.
uko peke yakoHiv ni mm ndo picha hazfunguk au tupo weng jaman?
Shida itakuwa nn? Me pcha hazfnguki kabsaauko peke yako
unatumia app au web appShida itakuwa nn? Me pcha hazfnguki kabsaa
Hahahaaa hiyo chuma bwana unataka kijana anayeanza maisha afe na sonona eeenh ila hiyo beetle kuna watu wanazipenda sana marasta hao wanaziona kama haile sellasieView attachment 2729116
Kula chuma hicho. Wese kidebe, spear mpaka buku. Hii unaanzia maisha na ujuzi wa ufundi juu.
Hiyo Picha na hicho Kitendo ( Ishara ) Mkononi ukifanyiwa Wewe au Baba yako au Mama yako utaridhika?sasa apo tusi liko wapi😂😂😂