Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Tafuta Range Rover Vogue hutojuta. Ni gari simple sana, inakula mafuta kiduchu, spare zipo tena bei chee kabisa, imara, na inakungoja wewe tu uipe maelekezoGari gani zuri dogo dogo la kufanyia mizunguko hapa mjini
Ukinzingaria mambo kama ya ulaji wa mafuta na pia urahisi wa kujipenyeze, vipuli etc
Anatafuta huruma huyu🤣🤣🤣sasa apo tusi liko wapi😂😂😂
Nimeshakuripoti tayari hivyo Kazi Kwako.Mie sijakutana mtani mie nimeweka picha tu, nisamehe nimekosa mimi naomba nisamehewe tu
Kutafuta Haki yako ni Kutafuta Huruma?Anatafuta huruma huyu🤣🤣🤣
Labda mwenzetu ni mfu.Kuanzia maisha ndio nini?
okay tumeelewana mnafiki na juha mwenzangu wa kiwango cha lamiHiyo Picha na hicho Kitendo ( Ishara ) Mkononi ukifanyiwa Wewe au Baba yako au Mama yako utaridhika?
Punguza Unafiki na Ujuha ulionao Ok?
unataka umponze kijana wako anunue chuma yenye cc 4100 plusTafuta Range Rover Vogue hutojuta. Ni gari simple sana, inakula mafuta kiduchu, spare zipo tena bei chee kabisa, imara, na inakungoja wewe tu uipe maelekezo
Changamoto kubwa na mafanikio makubwaunataka umponze kijana wako anunue chuma yenye cc 4100 plus
Ingia choo cha kike uoneWe mzee ni ya kweli haya? Au unafurahisha genge tu?
ni bei ganiMi nafkiri Toyota rush 2007/8 inafaa Kwa kuanzia maana naona ni chuma kimetulia na pia kwenye wese sio mbaya sana
PassoGari gani zuri dogo dogo la kufanyia mizunguko hapa mjini
Ukinzingaria mambo kama ya ulaji wa mafuta na pia urahisi wa kujipenyeze, vipuli etc
Benz dogoGari gani zuri dogo dogo la kufanyia mizunguko hapa mjini
Ukinzingaria mambo kama ya ulaji wa mafuta na pia urahisi wa kujipenyeze, vipuli etc
jibu la kibabeRange Rover au Mercedes Benz new Model.
Umeme huu TANESCO....?Una bei gani....nikuletee gari ya umeme?