Gari Hiace namba T936 AJU ya ruti ya Mbezi - Boko Mnemela iondolewe barabarani

Gari Hiace namba T936 AJU ya ruti ya Mbezi - Boko Mnemela iondolewe barabarani

Mamujay

Senior Member
Joined
Dec 24, 2022
Posts
149
Reaction score
345
Gari, tunatoka mbezi Gari inasukumwa mpaka round about ili iwake, Gari tumefika karibu na kwa Komba imepasuka Tairi. Konda hataki kurudisha nauli Ajali ikitokea tutamtafuta mchawi nani?

Kemea ajali

IMG_20230224_111857_861.jpg

IMG_20230224_111428_951.jpg
 
Daah hiyo kama ina 5L Engine ni mpya hiyo mkuu zipo hapo Arusha zinaenda Sanawari ya Juu wanapaki Stand ndogo zile kwa tafiti ndogo zinaweza kuwa ndio Hiace mbaya na mbovu kuliko maeneo mengi ya Nchi...
 
Back
Top Bottom