Gari hii inafaa?

Wataalam wa kuagiza magari huwa hawa recommend kuagiza magari kutoka Singapore.

Wanasema magari mengi ya Singapore yana matatizo mkubwa ingawa kwa appearence huonekana kuwa mazuri sana.

Kwa ujumla aina hiyo ya gari ni nzuri tu kwa mazingira ya hapa kwetu.
 
View attachment 1801013
Naomba wataalm mje hapa uimara wake uko vipi na mapungufu ya hii gani na vipi road Ina balance hata ukiwa kwa mwendo mkubwa?
Toyota Camry ni moja ya gari bora kabisa. Tatizo kama ulivyoambiwa magari ya Singapore ni magumashi,hayana matunzo wanabambika tu wanakuuzia wewe ukafe nalo. Tafuta used from Japan.
 
Kuna makala moja ilisambaa sana ndio imeleta hii sumu...
 
Toyota Camry ni moja ya gari bora kabisa. Tatizo kama ulivyoambiwa magari ya Singapore ni magumashi,hayana matunzo wanabambika tu wanakuuzia wewe ukafe nalo. Tafuta used from Japan.
Ahsante mkuu kwa neno lako
 
Tiririka Basi mkuu japo kidogo Kama una ABC za hii kitu
Mimi ABCs zangu ni personal experience kutoka kwa watu wa karibu au kutoka hapa JF.

Magari mengi ya Singapore yana matatizo mengi.

Cha muhimu zaidi kuhusu magari ya Singapore hayafanywiwi ukaguzi wa kina kama ilivyo yale ya Japani au Ulaya.
 
Ok
 
Kasoro gani umeziona sana kwenye magari ya singapore tofauti na ya japan na uk
 
Kasoro gani umeziona sana kwenye magari ya singapore tofauti na ya japan na uk
Tunapofanya manunuzi hasa kwa mtandao huwa tunazingatia reviews za watu(wanunuzi).

Kwa sababu unajua kabisa magari yanayonunuliwa ni mengi, kwa hiyo sina muda wa kuanza kufanya uchambuzi.

Kama wewe ni mtu wa magari Ikutoshe kujua mtu akisema gari ina matatizo makubwa ina maana gani.

Usitumie muda mwingi kuuliza maswali ya kitoto toto.
 
Tunapofanya manunuzi hasa kwa mtandao huwa tunazingatia reviews za watu(wanunuzi)...
Kwenye reviews za mitandaoni sasa hakuna gari nzuri... Kingine kama hauna hoja na hauwezi kufafanua ulichokianzisga u better kaa kimya una comment humu halafu ukiulizwa unaanza mikwara mbuzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…