Jick JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 1,327 Reaction score 2,041 May 29, 2021 #21 Mzee Wa Kale Kabisa said: Kwenye reviews za mitandaoni sasa hakuna gari nzuri... Kingine kama hauna hoja na hauwezi kufafanua ulichokianzisga u better kaa kimya una comment humu afu ukiulizwa unaanza mikwara mbuzi... fala wewe Click to expand... Ahsante.
Mzee Wa Kale Kabisa said: Kwenye reviews za mitandaoni sasa hakuna gari nzuri... Kingine kama hauna hoja na hauwezi kufafanua ulichokianzisga u better kaa kimya una comment humu afu ukiulizwa unaanza mikwara mbuzi... fala wewe Click to expand... Ahsante.
Mzee Wa Kale Kabisa JF-Expert Member Joined Mar 25, 2018 Posts 2,621 Reaction score 4,322 May 29, 2021 #22 Jick said: Ahsante. Click to expand... Yes
black short JF-Expert Member Joined Nov 16, 2019 Posts 519 Reaction score 974 May 29, 2021 #23 Chukua gari mzee,,, tunaendesha daladala namba A asubuhi, jioni tunaenda nayo kula bata pia
Prodigy Oligarchy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2020 Posts 571 Reaction score 653 May 30, 2021 #24 Itakufaa, lakini sio hiyo ya singapore RRONDO amekueleza sababu za msingi kwanini usichukue gari ya singapore.
Itakufaa, lakini sio hiyo ya singapore RRONDO amekueleza sababu za msingi kwanini usichukue gari ya singapore.
G Ghost Worker JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 1,412 Reaction score 1,864 May 30, 2021 #25 Jick said: Wataalam wa kuagiza magari huwa hawa recommend kuagiza magari kutoka Singapore... Click to expand... True. Jamaa yangu aliingiza volvo toka huko, shughuli inayompa anajuta.
Jick said: Wataalam wa kuagiza magari huwa hawa recommend kuagiza magari kutoka Singapore... Click to expand... True. Jamaa yangu aliingiza volvo toka huko, shughuli inayompa anajuta.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 30, 2021 #26 Inafaa...