Gari hii inauzwa

Gari hii inauzwa

maestro2014

Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
99
Reaction score
18
Gari hii inauzwa na mwenye nayo anaiuza 4.5m haongezi wala kupunguza hata mia ni kwamba mwenyewe anashida kubwa sana hivyo anasema mtu hufaliwa na chake ni pm ili upate gari hii
 
Gari hii inauzwa na mwenye nayo anaiuza 4.5m haongezi wala kupunguza hata mia ni kwamba mwenyewe anashida kubwa sana hivyo anasema mtu hufaliwa na chake ni pm ili upate gari hii

Hiyo ni gari au kifuu cha nazi ..
 
Picha hii
 
Attachments

  • 1393086256259.jpg
    1393086256259.jpg
    57.1 KB · Views: 360
piga picha vizuli watu waone hivi watu hawaoni piga mbele ,nyuma
 
piga picha vizuli watu waone hivi watu hawaoni piga mbele ,nyuma
 
Technology ngumu kweli kwako. Omba ufundishwe kuattach picha
 
Picha nyengine hizi hapa
 
Attachments

  • 1393155524224.jpg
    1393155524224.jpg
    43.2 KB · Views: 178
  • 1393155540371.jpg
    1393155540371.jpg
    49 KB · Views: 180
  • 1393155567308.jpg
    1393155567308.jpg
    80 KB · Views: 174
  • 1393155625634.jpg
    1393155625634.jpg
    48.7 KB · Views: 159
  • 1393155645956.jpg
    1393155645956.jpg
    61.8 KB · Views: 170
E bwana e hii gari mbona INA speed nyingi ?260 sihawahi ona! Mkuu ngoja Niku pm kbla watu hawajaiona!
 
Number plate inasomaje? naona haujaweka hata namba ya simu aisee!
 
Back
Top Bottom