FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Gari ni gari bora likufikishe unakokwenda
gari lake kishasema halikukuruki liko pale pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari ni gari bora likufikishe unakokwenda
Gari gani limekuwa kama mganga wa kienyeji!? Kila siku.. lete kuku, lete mayai, lete mbuzi pacha, mara lete vifaranga vya kijani.. kwenda halendi limebakia kuunguruma tu!! Mwisho watu wanaanza kudandia madaladala hivi hivi!!
Mmh! Siyo uendeshe gari kwa vile ni gari tubali angalia kuwa gari la aina gani?!...ha ha
du naona hili gari ni sawa na mke asiye na uaminifu nyumbani tamaa zimemjaaGari gani limekuwa kama mganga wa kienyeji!? Kila siku.. lete kuku, lete mayai, lete mbuzi pacha, mara lete vifaranga vya kijani.. kwenda halendi limebakia kuunguruma tu!! Mwisho watu wanaanza kudandia madaladala hivi hivi!!
Inabidi uwasiliane na manufacturer wa gari akupe mbinu Mbadala