Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hiyo Kasi ikizidi hula mafutaKumbuka gia na mguu wako
Ukinyoosha goti lazima ile gari yoyote.Hata hiyo Kasi ikizidi hula mafuta
Kuna rangi kwenye speedmeter ikifika red inakula
Kwa gari automatic inatumia mafuta vizuri ikiwa kuanzia gear namba 4 na mshale wa rpm uwe kati ya 1.5 mpaka 2.Gari hula mafuta zaidi likiwa laenda polepole au haraka? Wengi husema gari likienda mbio kweli halili mafuta kiviiile! Je, ni kweli?
Nimeyaona sana hayo magari ya design hiyo mitandaoni na kusema kweli yako vizuri kwa utumizi wake wa mafuta. Kuna yale ya umeme na ya kutumia miale ya jua.Magari mengi ya kileo tunaweza sema hayali mafuta na kama yanakula bhasi ni katika kiwango kidogo sana hii inatokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia mfano:Magari mengi ya kisasa ya siku hizi hutumia umeme kwa sehemu kubwa hii inasababisha gari inapokuwa katika high speed ulaji wa mafuta hupungua na hutumia umeme kuji-run yenyewe..
Umeme ukimaanisha gari za Hybrid au EV kama hizi tesla?Magari mengi ya kileo tunaweza sema hayali mafuta na kama yanakula bhasi ni katika kiwango kidogo sana hii inatokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia mfano:Magari mengi ya kisasa ya siku hizi hutumia umeme kwa sehemu kubwa hii inasababisha gari inapokuwa katika high speed ulaji wa mafuta hupungua na hutumia umeme kuji-run yenyewe..
Gari haili mafuta ikiwa ratio ya gear na engine rotation viko balanced! Engine ikizunguka zaidi katika gear ndogo inakula sana esp. 1-2nd Gears!Gari hula mafuta zaidi likiwa laenda polepole au haraka? Wengi husema gari likienda mbio kweli halili mafuta kiviiile! Je, ni kweli?
Ukienda polepole.
unatumia gia kubwa zaidi na ulaji wa mafuta unakua mkubwa zaidi
Ukienda kasi,
unatumia gia NDOGO zaidi ivyo kutumia mafuta kidogo zaid
Huko kwenye red ni mbali sana. Ukishaanza kuiacha mbili its a new storyHata hiyo Kasi ikizidi hula mafuta
Kuna rangi kwenye speedmeter ikifika red inakula
Mapigo ya accelerator yakiwa slow na nozel nayo inatema wese slow, mapigo yakiwa kasi na nozel nayo inatema wesee kwa kasi. So high speed wese jingi linatumika.
Ya kweli hayo?Magari mengi ya kileo tunaweza sema hayali mafuta na kama yanakula bhasi ni katika kiwango kidogo sana hii inatokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia mfano:Magari mengi ya kisasa ya siku hizi hutumia umeme kwa sehemu kubwa hii inasababisha gari inapokuwa katika high speed ulaji wa mafuta hupungua na hutumia umeme kuji-run yenyewe..
Alphad, dualis, Skyline, prado, land cruiser etc.....Ya kweli hayo?
Mfano gari gani mkuu?