Gari hula mafuta zaidi likiwa laenda polepole au haraka?

Gari hula mafuta zaidi likiwa laenda polepole au haraka?

Mpka ufikie optimal point ya speed na rpm
 
Umeme ukimaanisha gari za Hybrid au EV kama hizi tesla?

Kama ni hizi gari zetu za kawaida za petrol/diesel naomba unieleweshe umeme unasaidiaje gari kutokula wese.
Ahahaha! Nichangie kidogo... Ukitoa hybrid na EV hata hizi za kawaiwa kuna via task kidogo vinaendeshwa na umeme ila kwa hizi za miaka ya karibuni kama compressor ya ac nk. gari ikiwa na compr ya umeme ulaji wake kidogo unakuwa mzuri kulinganisha na compr za kawaida... I stand to be corrected mkuu
 
Yote yanatumia mafuta sana... mwendo mdogo utatumia mafuta kidogo lakini utachelewa kufika hivyo utatumia mafuta mengi zaidi kufika point flani LOW CONSUMPITION FOR A LENGTHY TIME...na ukienda haraka utatumia mafuta mengi lakini utawahi kufika...hivyo itakua HIGH CONSUMPTION FOR SHORT TIME.
 
Back
Top Bottom