Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 221
- 542
Wakati unakuja watanzania wataishiwa uvumilivu kwa kuona Mali zao na nchi yao ikiuzwa pasina wao wenyewe kuridhia.
Ni kama kufumba na kufumbua maji hayapatikani tena wakati ilo jambo lilishasahaulika, umeme siyo wa uhakika tena sasa watanzania hawajui mwekezaji gani atakuja kuwekeza kwenye nchi isiyokuwa na umeme, soon mitambo ya symbion itawashwa tena ili ela ziendelee kulipwa kwa wahuni, mradi wa kipigaji wa bagamoyo port umeanza kupigiwa chapuo maana yake mambo yameiva, watu washakula % zao sasa wana push agenda.
Hatujui nchi inaenda wapi, Hatujui ni nani ana mater mind hii mipangilio yote, Hatujui haya yote yanafanywa kwa manufaa ya nani.
Deep state inaonekana wanafaidika na yote yanayoendelea kwaiyo hata wao hawana faida yoyote kwa nchi hii.
Saa ipo, siku ipo, jambo ambalo halikutegemewa litatokea na hili litakuwa ni kwa maslahi ya taifa hili.