Gari imerudi kuwa mpya kabisa

Gari imerudi kuwa mpya kabisa

Aliifanyia overhaul ama? sababu ni nyingi za injini kupiga kelele ikiwamo oil kutokupanda inavyostahili kwa engine ama hata septrin belt kuchoka,
Alifanya Overhaul ndio. Na akatoa vyote vilivyokuwa vimechoka. Shaft ikachongwa kidogo na block ikafungwa sleeves na kuchongwa katika size husika.
 
Uchomoki hapa
1.wish
2.noah new shape
3.spacio
4.rava 4 Kili time
5.allion
6.premio
 
Sawa mkuu ila jipange ununue engine nyingne wakati Bado unatumia hyo

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
Aisee Mashine nimeitest ipo poa sana. Nimesafiri Dar to Babati (Via Dodoma) then Babati - Tabora nikimaliza na Tabora - Dar es Salaam. Haijanisumbua hata kidogo. Na ulaji wa mafuta ulikuwa 12km/l
 
Aisee Mashine nimeitest ipo poa sana. Nimesafiri Dar to Babati (Via Dodoma) then Babati - Tabora nikimaliza na Tabora - Dar es Salaam. Haijanisumbua hata kidogo. Na ulaji wa mafuta ulikuwa 12km/l
Ni kwel boss lakini life span yake itakuwa ndogo sana

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
 
Alifanya Overhaul ndio. Na akatoa vyote vilivyokuwa vimechoka. Shaft ikachongwa kidogo na block ikafungwa sleeves na kuchongwa katika size husika.
Kila la heri mkuu, Ila hizi engine za sasa za toyota zikishafika stage hiyo basi mwisho wake hauko mbali.
 
Nina gari ndogo Toyota Engine 1ZZ VVTi kuanzia 2021 August ilikuwa ikinisumbua sana. Engine ilikuwa ni full kelele ukiwasha, ukikanyaga mafuta kidogo tu ni krrarrrrrrr kama zote.

Niliisha peleka kwa mafundi 3 tofauti but tatizo likawa linazidi. Fundi wa mwisho akaniambia itakuwa inafanya kazi but itakukera tu utabidi uvumilie tu. Nimeenda nayo hivyo zaidi ya miezi mi 4. Kula mafuta sana, inamaliza oil sana, kelele kwa engine, yaani hakuna raha kabisa.

Kuna jamaa yangu yeye anaye fundi wake sasa kuna siku akawa anamsifia sana ikabidi nimuombe anipatie namba zake. Baada ya kumuona jamaa akaichukua na kuifanyia uchunguzi wa kina.

Gari imetengenezwa imerudi kama imetoka Japani. Testing zote tayari. Sasa hapa nataka nianze safari nione itakuwaje. Ila matengenezo yanahitaji pesa aisee maana vitu vingi vimenunuliwa vipya.

Hapa nina amani sana.
SAMAHANINI WADAU NIKO NJE YA MADA KIDOGO, NIWAPE HUDUMA HII, WADAU UKIWA NA TIGO UNAWEZA USIZIME DATA KWA HIZI BANDO ZENYE UNAFUU MNOO‼️
15G=15000/=, 35GB=30000/=, 48GB=40000/= 72GB=60000/= NA 120GB=100000/=
Bando hizi utakua unazipata kwa miaka miwili mfululizo kila tarehe moja unaingiziwa, KUJIUNGA HUMTUMII MTU YEYOTE HELA,

nakupa maelekezo buree unalipia moja kwa moja tigo kama unavyojiunga vifurush vingine. Huduma hii ni uhakika nikikupa maelekezo unaweza hata kupiga 100 ukaulizia na ukalinganisha maelekezo yangu na ya customer care.
( Airtel pia naunga Huduma ya SME itakayokupa GB kibao kwa gharama kidogo)
nicheki 0717700921
 
Back
Top Bottom