[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]This is a joke!
Duh we una utani na maisha ya wabongoHizi gari za watu wa rangi nyeusi ambazo wanaweka oil fake za matractor pamoja na ATF fake kwenye gia box hata ukiniuzia Vanguard kwa laki tano sinunui.
Mkuu kwa mfano gari ambazo zinapaswa kuwekwa oil yenye viscosity ya 5W-30 wabongo wanaweka SAE40 kwa sababu ni bei chee kisha zikishaanza kufa engine wanakuuzia!😄😄😄Duh we una utani na maisha ya wabongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Mkuu kwa mfano gari ambazo zinapaswa kuwekwa oil yenye viscosity ya 5W-30 wabongo wanaweka SAE40 kwa sababu ni bei chee kisha zikishaanza kufa engine wanakuuzia![emoji1][emoji1][emoji1]
Ndoto hizo.vanguard kwa hiyo pesa duu