mafinyofinyo
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 4,404
- 3,275
Mkuu Vp unauza kama hiyoaisee
Kigoma ipi hiyo. Nipe connection nikafanye mamboKule Kigoma mnanda ulisha isha kwani walikua wana yauza kipindi flan yale ya shirika
Too bad ni mwaka jana kumbe sikua nakumbuka tar ..lakini una we, akiwa cheki hawa yono yana weza kuwepo badoKigoma ipi hiyo. Nipe connection nikafanye mambo
Too bad ni mwaka jana kumbe sikua nakumbuka tar ..lakini una we, akiwa cheki hawa yono yana weza kuwepo bado View attachment 2624285Ahsante sana.Nimepitia page yao hawana jipya
18 ndogo sanaMkuu Vp unauza kama hiyo
Ngapi unauza18 ndogo sana
mm ni agent tu, lakin kwa iyo bei naona hata uvivu kukutaftia, ila ngoja nijaribu maana currenly Gari zingine bei yake still inashangaza watuNgapi unauza
Sasa la shirika SI inabidi usajili na upyaKule Kigoma mnanda ulisha isha kwani walikua wana yauza kipindi flan yale ya shirika