namwakalima
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 458
- 260
Maswali mengine ni vizuri muyaelekeze kule kwenye Mada maalum ya magari.....kuna wataalam kule balaa kama mshana jrBoss mi gari yangu inashindwa kubadili gear ikiwa inapanda mlima na inakuwa inatetemeka some time ila plug nimebadili air filter nimebadili na oil Na hydraulic nabadilisha kwa mda mwafaka na tire ni Mpya kabisa. Tatizo laweza kuwa ni nn?
Ulitaka inywe supuni super custom, engine 1kz-te inakula mafuta kama haina akili nzuri. msaada tafadhali nini kinachangia hii kitu
kawaida ya engine za 1kz te ina turbo ,unapokuwa kwenye mwendo hakikisha rpm iko juu ili iruhusu turbo kufunguka kwa ajili ya kupunguza ulaji mafuta ,endapo ni town trip hii gari ulaji wa mafuta lazima uwe juu kwa kiwango cha kutisha kwa kuwa turbo haijafungua .nakushauri kwa town trip au safari fupi utumie gari nyingine yenye unafuu kidogo ,kwani kwenye 1kz mwendo mdogo mafuta mengi mwendo mkubwa mafuta kidogo .hivyo hivyo kwa prado za petrol .pole
Mkuu hapa either badili badili engine nzima au badili cylinder headdiesel
bado kwa town trip 1ltr kwa 7.5 bado ni nafuu zingine huenda 5.5km kwa lita ,kwa ujumla hizi injini si rafiki kwa miseleni kweli ina turbo, inakula 1ltr kwa 7.5km kwa town, hii kawaida mkuu?
ushauri mwingine changanya na za kwako .utaingia gharama zisizo na msingi.Mkuu hapa either badili badili engine nzima au badili cylinder head
ni super custom, engine 1kz-te inakula mafuta kama haina akili nzuri. msaada tafadhali nini kinachangia hii kitu