namwakalima
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 458
- 260
Maswali mengine ni vizuri muyaelekeze kule kwenye Mada maalum ya magari.....kuna wataalam kule balaa kama mshana jrBoss mi gari yangu inashindwa kubadili gear ikiwa inapanda mlima na inakuwa inatetemeka some time ila plug nimebadili air filter nimebadili na oil Na hydraulic nabadilisha kwa mda mwafaka na tire ni Mpya kabisa. Tatizo laweza kuwa ni nn?