Car4Sale Gari inauzwa au kubadilishwa na gari nyingine

Car4Sale Gari inauzwa au kubadilishwa na gari nyingine

WINCH

Member
Joined
May 3, 2016
Posts
71
Reaction score
23
Habarini wanaJF,

Gari aina ya Toyota Allion (T5*0DF*) inauzwa au exchange inaruhusiwa.

Ukubwa wa Injini: 1750cc
Sehemu: Dodoma Mjini

Bei: Mil. 10.5

Karibu PM ambaye uko tayari
 
Wewe wacha maneno ya kukwaza watu, weka picha kama unatangaza biashara, wacha maneno ya maudhi
Aliye serious atanifuata PM mkuu sijakulazimisha.


Mtu hawezi kuja ovyo nikamjibu kistaraabu
 
Back
Top Bottom