mamakibunju
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,009
- 223
kwanin unaiuza?Gari inauzwa aina ya Honda Accord Inspire kwa bei ya Mil 4 na Nusu Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali piga 0719-808849
nimekuelewa mpendwa, mwambie achukue 2 m plzMe dalali labda nikupe namba ya mwenye gari umuulize anyway it might be personal circumstances..!
Ugonjwa wa moyo huuGari inauzwa aina ya Honda Accord Inspire kwa bei ya Mil 4 na Nusu Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali piga 0719-808849
Ugonjwa wa moyo huu
achana nao mnunuzi hana porojo kama za hao wadada, go on najua kazi zako si za kibabaishaji.Hata mwenye mark x uona bmw ni ugonjwa wa moyo, inategemea uwezo wako kipesa! Kama ww una uwezo wa kumiliki baiskeli hata bodaboda kwako ni ugonjwa wa moyo..
Honda ni cheti cha ubatizo au ndoa ya kikristo.
nimekuelewa mpendwa, mwambie achukue 2 m plz
wewe unamiliki gari gani bwana kingkong? au ndio walewale...
Sina hata baskeli maisha ya uswahilini A-town umenyeni.
Sina hata baskeli maisha ya uswahilini A-town umenyeni.
Gari inauzwa aina ya Honda Accord Inspire kwa bei ya Mil 4 na Nusu Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali piga 0719-808849