mamakibunju
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,009
- 223
- Thread starter
- #21
Hapo ilipo ukinunua unapanda na kuondoka au inahitaji service kidogo,swali na kizushi hajawahi kuishusha engine?please nataka nije na mtaalam tuicheck.
Engine aijawai kushushwa hapo ulipo unapanda na kuondoka, service ilifanyiwa mwezi wa 6 nadhani, Nenda hata na engineer wa honda icheki, vizuri ukienda kuikagua kila kitu ndio utakuwa na amani ya moyo na kufanya uamuzi wa busara, ukiwa uko tayari Let me know i will hook you up with the Lady whos selling it