mamakibunju
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,009
- 223
- Thread starter
-
- #21
Hapo ilipo ukinunua unapanda na kuondoka au inahitaji service kidogo,swali na kizushi hajawahi kuishusha engine?please nataka nije na mtaalam tuicheck.
Hapo ilipo ukinunua unapanda na kuondoka au inahitaji service kidogo,swali na kizushi hajawahi kuishusha engine?please nataka nije na mtaalam tuicheck.
Picha Za Muonekano Wa Nje Nyingi Tena Umepia Kwa Mbali, Za Ndani Umeweka Moja Tu! Hujatenda Haki
Mh! gari mil 3,ina muziki mkubwa?
Gari inauzwa aina ya Honda Accord Inspire kwa bei ya Mil 4 na Nusu Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali piga 0719-808849
msms kibunju honda bado ipo?
haahaaaa Yesu alisema ewe pepo nenda kwenye nguruwe akusema waende baharini ...walipoingiwa na pepo gafla wakaelekea kufia baharini ....nahisi unataka kutuulia baharini wenzio
haahaaaa Yesu alisema ewe pepo nenda kwenye nguruwe akusema waende baharini ...walipoingiwa na pepo gafla wakaelekea kufia baharini ....nahisi unataka kutuulia baharini wenzio
Toa hii kitu bwana haiuzikiGari inauzwa aina ya Honda Accord Inspire kwa bei ya Mil 4 na Nusu Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali piga 0719-808849
Toa hii kitu bwana haiuziki
Hivi Bei ya Mwisho Ndo IPI!? Watanzania wana kawaida ya hii kauli, mi siielewi