Gari inauzwa kwa sh.milioni2 nalaki2.

Gari inauzwa kwa sh.milioni2 nalaki2.

baraka wanna

Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
25
Reaction score
1
wadau nauza gariyangu Toyota Baloon chaser ni automatic,gx 90 Rangi nyeupe ikovizuri nainatembea.ni 6 cylinder, km8 inakula mafuta lita1. anaehitaji wahimapema nitafute maongezi yapo 0713377167
 
Teh Teh !Hilo unalo mjomba au kata vyuma urudishe pesa angalau kidogo
 
nahitaji kaka.... uko wapi??. nitumie picha kwenye whatsapp 0717053389
 
wadau nauza gariyangu Toyota Baloon chaser ni automatic,gx 90 Rangi nyeupe ikovizuri nainatembea.ni 6 cylinder, km8 inakula mafuta lita1. anaehitaji wahimapema nitafute maongezi yapo 0713377167
mkuu hyo gar unauza kweli? maana tunakupigia simu haupokei! why?
 
wadau nauza gariyangu Toyota Baloon chaser ni automatic,gx 90 Rangi nyeupe ikovizuri nainatembea.ni 6 cylinder, km8 inakula mafuta lita1. anaehitaji wahi mapema nitafute maongezi yapo 0713377167

Mkuu mbona umetuhimiza haraka haraka?
Kulikoni?
 
wadau nauza gariyangu Toyota Baloon chaser ni automatic,gx 90 Rangi nyeupe ikovizuri nainatembea.ni 6 cylinder, km8 inakula mafuta lita1. anaehitaji wahimapema nitafute maongezi yapo 0713377167

Gari ya m2.2, sipati picha!
 
Kiongozi hiyo gari imechoka sana. Pengine jaribu kuongea na wauzaji wa spares uone kama ukilinyambua nyambua litakulipa. Kumuuzia mtu ni kutafuta lawama na kuharibu mahusiano na biashara yako ya kesho.

wadau nauza gariyangu Toyota Baloon chaser ni automatic,gx 90 Rangi nyeupe ikovizuri nainatembea.ni 6 cylinder, km8 inakula mafuta lita1. anaehitaji wahimapema nitafute maongezi yapo 0713377167
 
Napita tuu japo sinunui gari ila km nikinunua km bovu nakutoa mshipa
 
Foleni Dar haziishi,gari inauzwa bei ya Bodaboda.
Hembu tupia picha au ni ya kupiga?
Lakini hapo najua 6 cylinder ikichoka Engine inakula mafuta kama Vogue
 
Back
Top Bottom