kama unahitaji nicheki nikutumie picha nilisahau kuwekaPicha?
Tangazo lako bila picha halijakamilika, hayo mambo ya nicheki nikutumie yamepitwa na wakati. Ni ushaur tu lakini.kama unahitaji nicheki nikutumie picha nilisahau kuweka
Kutuma picha mbona kazi simple Sana......kama unahitaji nicheki nikutumie picha nilisahau kuweka
Hii Rim nimeilewa inapatikana wapi?Kutuma picha mbona kazi simple Sana...... View attachment 970909