Genchi Member Joined Aug 19, 2014 Posts 94 Reaction score 45 Jan 28, 2022 #1 Nissan Serena inauzwa kwa Bei ya kutupa mwenyewe kabanwa shida. Injin Wala gear box havijawah guswa haina tatzo lolote unawasha na kuondoka. Bei mil.tano (5,000,000) 0683775566
Nissan Serena inauzwa kwa Bei ya kutupa mwenyewe kabanwa shida. Injin Wala gear box havijawah guswa haina tatzo lolote unawasha na kuondoka. Bei mil.tano (5,000,000) 0683775566
Bepari la Kinyambo JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 852 Reaction score 1,081 Jan 28, 2022 #2 Ndugu shahidi hiyo picha ya fb ndio itushawishi kununua
mbenda said JF-Expert Member Joined Apr 13, 2019 Posts 1,084 Reaction score 2,074 Jan 28, 2022 #3 Tangazo lako baayaaaa, taja ukubwa wa engin, tana idadi ya siti, taja cfa za gari ulaji wa mafuta kama kuna taili ya akiba nk
Tangazo lako baayaaaa, taja ukubwa wa engin, tana idadi ya siti, taja cfa za gari ulaji wa mafuta kama kuna taili ya akiba nk
Masseto JF-Expert Member Joined May 14, 2020 Posts 1,615 Reaction score 3,205 Jan 28, 2022 #4 Kutofunguliwa kwa injini au gear box haitupi 100% kuwa ni zima kama, jaribu wale jamaa wa mtaa wa pili kule
Kutofunguliwa kwa injini au gear box haitupi 100% kuwa ni zima kama, jaribu wale jamaa wa mtaa wa pili kule