Wadau kama ambavyo uzi unasomeka, gari yangu inawasha taa ya check engine, sometimes taa ya ABS pindi ninapotembea Km 5,6--, namtafuta fundi mwaminifu na mjuvi wa kurekebisha hizi taa au garage nzuri.Nimechoka na jamaa wa mitaani wanagusagusa na kupima lkn naona kama hawana uhakika na kazi zao. Looking for recommendations.