Gari inawasha taa ya Check engine

Gari inawasha taa ya Check engine

Karaghu

New Member
Joined
May 19, 2018
Posts
4
Reaction score
1
Wadau kama ambavyo uzi unasomeka, gari yangu inawasha taa ya check engine, sometimes taa ya ABS pindi ninapotembea Km 5,6--, namtafuta fundi mwaminifu na mjuvi wa kurekebisha hizi taa au garage nzuri.Nimechoka na jamaa wa mitaani wanagusagusa na kupima lkn naona kama hawana uhakika na kazi zao. Looking for recommendations.
 
Je zilianza kuwaka kwa mkupuoo ama ilianza mojamoja" Na ni aina gan ya gar"
 
Run codes kwa kutumia OBD 2 scanner kujua tatizo ni nini. Mara nyingi check engine light inakuwa triggered na matatizo ya emission (vacuum leak, o2 sensor, mass air flow sensor, spark plugs, coil park n.k).

Mara nyingi ABS light inawaka kama internal circuitry ya module (ABS) ina matatizo. Inabidi uibadilishe au utafute fundi wa electronics aiangalie kama inahitaji kufanyiwa re soldering.
 
Run codes kwa kutumia OBD 2 scanner kujua tatizo mara nyingi check engine code inakuwa triggered na matatizo ya emission (vacuum leak, o2 sensor, mass air flow sensor)
sina scanner ya OBD II
 
Back
Top Bottom