Premio New modelGar gan?
Check engine ndio mara kwa mara, ABS ni mara chacheJe zilianza kuwaka kwa mkupuoo ama ilianza mojamoja" Na ni aina gan ya gar"
sina scanner ya OBD IIRun codes kwa kutumia OBD 2 scanner kujua tatizo mara nyingi check engine code inakuwa triggered na matatizo ya emission (vacuum leak, o2 sensor, mass air flow sensor)
Nafikiri unaweza pata fundi mwenye nayo ili akuchekie tatizo ni nini.sina scanner ya OBD II