Mosh mweusi hauna shida sana ila moshi mweupe na wabluu ndio huwa na tatizo kwa gar za petrolMkuu. Nina the same case, sasa mwezi wa 6 huu na fundi aliniambia hakuna tatizo lolote. Sasa sijajua alikua sahihi au vipi. Ila performance iko poa. Mimi Corolla VVTi NZ_FE engine
Duh umetumia kitu cha wapi brotherMoshi unayoizungumzia ww ni moshi hii ya Kilimanjaro au moshi gani? Embu funguka tujue tunaanzia wapi kukushauri. Eid mubarak
Huyo wa Mombasabila shaka wewe ni mwanaume wa dar.
Ring zimekwisha engine oil inangia kwenye petrol hata ukipima engine oil inapungua sanaHongeren kwa majukumu wadau wa JF garage
gari yangu ni Noa Old model, ya mwaka 1998. Siku za hivi karibuni imeanza kutoa moshi mara ninapoiwasha hasa asubuhi, huwa inatoa moshi kwa dakika kadhaa halafu inarudi kwenye hali yake ya kawaida. Na kwa kawaida magari yanayotumia petrol huwa hayaoti moshi. Naomba mnisaidie kujua itakuwa na tatizo gani?
badi inatoa??Mimi pia niliambiwa na fundi wangu kuwa ni kitu cha kawaida. Lakini yangu haitoi moshi mwingi sana. Huwa unatoka kidogo ile asubuhi ninapoiwasha