Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Tupe mrejesho man, namie nina tatizo kama hiloHongeren kwa majukumu wadau wa JF garage
gari yangu ni Noa Old model, ya mwaka 1998. Siku za hivi karibuni imeanza kutoa moshi mara ninapoiwasha hasa asubuhi, huwa inatoa moshi kwa dakika kadhaa halafu inarudi kwenye hali yake ya kawaida. Na kwa kawaida magari yanayotumia petrol huwa hayaoti moshi. Naomba mnisaidie kujua itakuwa na tatizo gani?