Tupe mrejesho man, namie nina tatizo kama hiloHongeren kwa majukumu wadau wa JF garage
gari yangu ni Noa Old model, ya mwaka 1998. Siku za hivi karibuni imeanza kutoa moshi mara ninapoiwasha hasa asubuhi, huwa inatoa moshi kwa dakika kadhaa halafu inarudi kwenye hali yake ya kawaida. Na kwa kawaida magari yanayotumia petrol huwa hayaoti moshi. Naomba mnisaidie kujua itakuwa na tatizo gani?
Iliachaga mkuu! Lakini pia nilishaiuza kitambobadi inatoa??
Ok..Iliachaga mkuu! Lakini pia nilishaiuza kitambo
Haukua moshi mwingi ulikuwa kidogo sana na ilikuwa ni asubuhi tu ndiyo inakuwa hivyo lakini mchana ilikuwa poa, niliipelekaga hadi kwa fundi wangu akaniambia hilo sio tatizo.Ok..
Lakini siku nyingine ukiona moshi wa blue jua gari yako inaunguza engine oil kweny jiko..
Ukiona moshi mweupe jua gari lako linaingiza coolant kwenye jiko...
Yote haya ni matatizo ambayo ni serious...yanahitaji kuchukua hatua za haraka
Hivi gari inaweza ingiza coolant kwenye jiko lakini coolant ipo level ile ile au? Mimi yangu inatoa moshi mweupe na saa zingine maji yanadondokaOk..
Lakini siku nyingine ukiona moshi wa blue jua gari yako inaunguza engine oil kweny jiko..
Ukiona moshi mweupe jua gari lako linaingiza coolant kwenye jiko...
Yote haya ni matatizo ambayo ni serious...yanahitaji kuchukua hatua za haraka
Kama inaingiza coolant au maji kwenye jiko hapo lazima maji au coolant itakuwa inapungua sana mara kwa mara na mara nyingi moshi unakuwa mweupe kama mvuke au ukungu muda wote ...Hivi gari inaweza ingiza coolant kwenye jiko lakini coolant ipo level ile ile au? Mimi yangu inatoa moshi mweupe na saa zingine maji yanadondoka
Kiasi cha oili kinatoka kile kileMkuu. Nina the same case, sasa mwezi wa 6 huu na fundi aliniambia hakuna tatizo lolote. Sasa sijajua alikua sahihi au vipi. Ila performance iko poa. Mimi Corolla VVTi NZ_FE engine
Safi.Ok..