Gari ipi bora kati ya Honda CRV na Toyota Verossa

Kumiliki gari ni bajet ya mtu. Kama mimi napenda sana gari kutoka toyota sababu tyt ni popular sana Africa. Muda mwengine ni sifa tu kuagiza spare kutoka nje hasa magari ya ulaya.
 
mkuu chukua honda crv ni gari nzuri nimekuwa nalo kwaka wa 7 sasa halijanisumbua zaidi ya service za kawaida na nasafiri nalo sana,kwa upande wa spare zipo kibao sasaivi tofauti na zamani ni gari ngumu sana pia
 


mkuu ulishawai miliki gari hili honda crv? au ni maneno ya mtaaniunasikiliza
 
Honda sikushauri kuna jamaa mmoja alikuwa anamiliki balaa ilikuja kwenye spare mpaks aifate nje ya nchi aliuza kwa hasara sana kiufupi hazifai na hata hiyo verosa majanga ila ina unafuu kidogo kuliko Honda utaja lia nakuapia
Mhh,aisee hii si miaka ya 80?maana kwa spare zipo kibaoooo
 

Sasa ulitaka kuweka spare fake?
 
Honda sikushauri kuna jamaa mmoja alikuwa anamiliki balaa ilikuja kwenye spare mpaks aifate nje ya nchi aliuza kwa hasara sana kiufupi hazifai na hata hiyo verosa majanga ila ina unafuu kidogo kuliko Honda utaja lia nakuapia
muongo honda ni strong sana acha kupotosha
 
Watu wana id za ajabu eti kuku mdogo.

Ola mwana chukua gari ya juu km vp hiyo Honda iko poa ila jihakikishie tu spare zipo km zipo chukua hiyo Crv sjui ndo Honda yenye matairi manne au unataka kununua gari ukitaka kwenda sehemu unaulizia vp njia huko zinapitika eeh vp hakuna maji huko madimbwi yale eeh vp mashimo yapo mengi hiyo njia ya mchamba wima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…