Nimewahi kuwa na Honda CRVya 1996 ndo gari nilionzia maisha, Zina shida sana ya cv joints na gearbox hasa ukizingatia vinatumia gearbox ya cvt, back them ilinitesa na ukizingatia nilikuwa nasgiza vipuro Kwa urajisi Uganda ila Cha moto nikakiona nilipata unafuu nilipokuja badilishs engine na gearbox nikaeeka ya Noah then nikakauza Kwa walima mpunga. Labda Kwa generation ya sasa, nikahamia Kwa cresta gx100 1g kavu 1998 hapo ndo nilifaidi maisha maana gari ilikuwa ni service tupaka Leo halijaeahi hsribikika na Sina mpango wa kuliuza wanangu wananupa ushauro niambie Kwa crown niwe wa kisasa nimekataa nimeongeza tu Carina ya home mi na jini langu, sema Kwa kibongobongo kama unahela ya wastana Honda and wadogo zake achana nao utalia