Hakika kaka 100% ni Bonge LA gari,Nina rd1 acha kabisa mwaka Wa pili kimya sasahivi nipo singida naenda Arusha ,nainjoi saana hii garimkuu chukua honda crv ni gari nzuri nimekuwa nalo kwaka wa 7 sasa halijanisumbua zaidi ya service za kawaida na nasafiri nalo sana,kwa upande wa spare zipo kibao sasaivi tofauti na zamani ni gari ngumu sana pia
Hakika kaka 100% ni Bonge LA gari,Nina rd1 acha kabisa mwaka Wa pili kimya sasahivi nipo singida naenda Arusha ,nainjoi saana hii gari
Mkuu HONDA CRV Ni gari nzuri sana. gari ngumu hata fuel consumption yake sio mbaya, ila tatizo la bongo WAME IKARIRI TOYOTA.Honda sikushauri kuna jamaa mmoja alikuwa anamiliki balaa ilikuja kwenye spare mpaks aifate nje ya nchi aliuza kwa hasara sana kiufupi hazifai na hata hiyo verosa majanga ila ina unafuu kidogo kuliko Honda utaja lia nakuapia
Zipo nyingi tuHiv kuna honda cc 1500 and below?!
Zipo nyingi tu
Kwenye tovuti hizohizo tafuta Honda Fit utaona zipo za 1330cc na 1500cc. Pia zipo nyingine nyingi tu. Fungua web ya beforward, chagua honda hlf kwenye engine capacity chagua 1001-1500cc.Nimetizama beforward...carjuction...cartradeview...autocom japan....sijaona yenye cc 1500..and below....naomba niongoze...nitizame wapi...niipate
Kwenye tovuti hizohizo tafuta Honda Fit utaona zipo za 1330cc na 1500cc. Pia zipo nyingine nyingi tu. Fungua web ya beforward, chagua honda hlf kwenye engine capacity chagua 1001-1500cc.
nilikua nataka spare za honda manyanga anapatikana wapiNilikua na honda nilijuta spere zenyewe taabu kuna mtu mmoja anaitwa manyanga ndio muuzaji mkubwa wa hizo spere mkuu honda itakua ndugu yako hata ukisema uuze haiuziki
UmetishaMhh yaan hapo ni sawa na kusema marehem na maiti so ndo utajua tofaut ya hizo gari kwa ushauri wangu kama unatoa hela yako achana na hizo gari kaangalie mara elfu themanini ukanunue ti au opa lakin kama unapewa bure chukua honda utakuja kuiweka kibarazan kama kumbukumbu yako ulikua na gar miaka hiyo maana kuna watu kibao wameziweka kama mainyeaho
Yaan ni ushabiki tu, mwenyewe Nina CR-V hiyo second generation chuma iko vizuri Sana kwa offroading yaani naenjoy maisha ya vx v8 kwenye midium sized compact SUV. Spare ziko nyingi sana, tatizo wabongo wanapend kukariri na kuigana.Kwa ushauri wangu go for honda cr v ipo reliable sana huwezi kulinganisha na verrosa ,tatizo wengi nimesoma comment hawajawahi kumiliki gari zaidi ni ushabiki wa kishamba tu eri kuwa na gari kuwa nje ya Toyota ni ndoa huo ni ujinga narudi tena ni ujinga ,kumshauri mtu anunue magari ya 1998 kwa dunia ya sasa hapana aisee tubariki its time to change we have to think out side the box
Honda CRV new model ikoje jamaniKama una pesa nunua Honda CRV
Hapa nakupinga Extro. Hizi gari ni moja ya reliable cars ambazo nimeshuhudia wamiliki wakiwa nazo kwa miaka mingi.Ukitaka kujua ubovu wa hio gari tembelea sites za madalali uone kama utaikuta na hata ukiikuta ni bei gani? Nyingi huwezi kuta inauzwa zaidi ya 4M sababu ya ukimeo
5. VanguardHapa nakupinga Extro. Hizi gari ni moja ya reliable cars ambazo nimeshuhudia wamiliki wakiwa nazo kwa miaka mingi.
Madalali huwezi kuwatumia kama source ya ubora wa gari sababu wenyewe wanafanya biashara na TZ biashara ni TOYOTA hizi hapa
1. IST
2. PREMIO SEC GENERATION
3.RAV 4 MASSAWE & KILITIME
4.HARRIER TAKO LA NYANI etc
Sasa pamoja na kwamba TOYOTA ni reliable sana kwa mazingira yetu ila haimaanishi kuwa Honda Crv ni kimeo sana, otherwise wamiliki wasingekuwa nazo kwa miaka mingi.