Gari ipi bora kati ya Honda CRV na Toyota Verossa

Kama una 2m nikugee crv ukafunge engine
 
Reactions: Tsh
Honda crv ni tatizo ndo maana mengi unayaona yamepaki garage
 
Reactions: Tsh
Honda crv ni tatizo ndo maana mengi unayaona yamepaki garage
Boss
Garage hata rav 4 na suzuki masawe zipo boss. Shida ya Honda na gari zinazofanana na hizo ni pale wamiliki wanapokosa uwezo wa kuagiza spea nje baada ya kuzinunua hizi gari kwa bei cheap kwenye soko la ndani sababu hazina soko, Ila hii ni moja ya gari yenye review nzuri kwenye ulimwengu wa magari duniani.
 
Nimewahi kuwa na Honda CRVya 1996 ndo gari nilionzia maisha, Zina shida sana ya cv joints na gearbox hasa ukizingatia vinatumia gearbox ya cvt, back them ilinitesa na ukizingatia nilikuwa nasgiza vipuro Kwa urajisi Uganda ila Cha moto nikakiona nilipata unafuu nilipokuja badilishs engine na gearbox nikaeeka ya Noah then nikakauza Kwa walima mpunga. Labda Kwa generation ya sasa, nikahamia Kwa cresta gx100 1g kavu 1998 hapo ndo nilifaidi maisha maana gari ilikuwa ni service tupaka Leo halijaeahi hsribikika na Sina mpango wa kuliuza wanangu wananupa ushauro niambie Kwa crown niwe wa kisasa nimekataa nimeongeza tu Carina ya home mi na jini langu, sema Kwa kibongobongo kama unahela ya wastana Honda and wadogo zake achana nao utalia
 
Reactions: Tsh
Sio Honda tu. Tanzania achana na magari yote unique iwapo kipato ni cha kawaida. Ukishaambiwa vipuli unavuka mpaka achana nalo.
 
Sio Honda tu. Tanzania achana na magari yote unique iwapo kipato ni cha kawaida. Ukishaambiwa vipuli unavuka mpaka achana nalo.
Nilichojifunza Mimi ni kwamba wengi tunaumia sana kwasababu hata hizi Toyota tunanunua mkononi, brother asilimia 90 ya wanongo wakiuza gari ni kwamba linasumbua na kamwe wabongo tuna kasumba ya kutosema ukweli utasikia hii mbeya inatoboa mapema sana.
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…