Hapo ni Defender tu mzee babaNissan patrol hapo ndio mahala pake...
Eneo kama hilo gari aina ya Nissan patrol huwa hazikwami anaekwama ni dereva.
hiyo nyeupe iliyokwama ni Nissan angalia vizuri, hapo kiboko ni defender tu.Mkuu uko sahihi, nissan patrol ni nyoko, hii gari inanipitisha katika sehem ambazo watu wamekata tamaa mie naunguruma.
Upo sahihi ila Nissan haikwami hapo.Hapo ni Defender tu mzee baba
Monster truck Mercedes Benz G ClassWataalamu wa offroad. Leteni maoni yenu.View attachment 770751
Nilitoa komenti mbili! Ukizisoma zote ungeelewa mkuuhiyo nyeupe iliyokwama ni Nissan angalia vizuri, hapo kiboko ni defender tu.
Na hiyo ni Patrol Y62Nissan patrol hapo ndio mahala pake...
Eneo kama hilo gari aina ya Nissan patrol huwa hazikwami anaekwama ni dereva.
Landrover ndio mwisho wa yote. 110 au 109 hata 135