Gari ipi itachomoka hapa?

Gari ipi itachomoka hapa?

Mkuu uko sahihi, nissan patrol ni nyoko, hii gari inanipitisha katika sehem ambazo watu wamekata tamaa mie naunguruma.
hiyo nyeupe iliyokwama ni Nissan angalia vizuri, hapo kiboko ni defender tu.
 
Landrover ndio mwisho wa yote. 110 au 109 hata 135
landy 12.jpg
 
Back
Top Bottom