Gari ipi itanifaa kati ya Spacio na Toyota Wish?

Gari ipi itanifaa kati ya Spacio na Toyota Wish?

Kuna
honda stream pia
Volkswagen touran
Mazida premacy
Subaru exiga
Toyota sienta

Zote family car



Dumelang
 
Mimi naomba nikushauri,
Badala ya Spacio na Wish
Weka Ipsum na Wish

Nasema haya, nikizingatia kwamba, ni gari iwe nauwezo wakubeba watu nane (8) na nafasi ibakie.
Toyota Corolla spacio, haina huo uwezo sana, na isitoshe hata ukisema kulazimisha, lazma watu wataumia miguu sana na itabonyea.

Lakini Toyota wish yenyewe inapakia watu 6 hadi 7
Wakati Ipsum ikiwa inauwezo wa kupakia watu 6 pekee
Hata utumiaji wa mafuta pia ;

Wish, inauwezo wa kwenda wastani wa Km 13-14km/L
Huku ipsum inauwezo wa kwenda 11-12km/L

Na kwa upande wa ubora, ni kweli soo ngumu kama Spacio, lakini kwa sehe,u yake na kiwango chake, ni gari inayovumilia sana pia, ukiihudumia na kuitunxza.
 
Back
Top Bottom