wenye uzoefu na magari nisaidieni, nahitaji kununua gari
my concern;
1. iwe na consumption ya mafuta kiasi...
2. mahali ninapoishi na ofisini ni km 20 kwenda 20 kurudi kila siku
3.most wkends nina misele ya mkuranga na mlandizi (nina vijibustani huko lol)
4. nafikiria kununua cami au swift je zitamudu hayo masafa? na je hazisumbui?
5. nilikuwa na gari yenye cc 2200 ila hiyo hela ninayopoteza kwenye mafuta naona ni bora niingize kwenye vijiproject vyangu huko mkuranga,nahitaji gari itakoyonimuvuzisha from point A to B full stop.
6. na-prefer gari isiyozidi cc 1300.
Ushauri tafadhali.
sio sawa,pesa iko wewe!Mi nishasahaugi siku nyingi kuangalia gari based on fuel consumtion! Mi naona yote sawa tu. Bora ufike unapotaka
...Tafuta Suzuki Sierra,iko na cc 660 halafu ni 4wd,una engage kama Hardtop!!lita 1 waweza kwenda mpk km 35,lol!!vitz,duet,swift pia s0i mbaya.
wenye uzoefu na magari nisaidieni, nahitaji kununua gari
my concern;
1. iwe na consumption ya mafuta kiasi...
2. mahali ninapoishi na ofisini ni km 20 kwenda 20 kurudi kila siku
3.most wkends nina misele ya mkuranga na mlandizi (nina vijibustani huko lol)
4. nafikiria kununua cami au swift je zitamudu hayo masafa? na je hazisumbui?
5. nilikuwa na gari yenye cc 2200 ila hiyo hela ninayopoteza kwenye mafuta naona ni bora niingize kwenye vijiproject vyangu huko mkuranga,nahitaji gari itakoyonimuvuzisha from point A to B full stop.
6. na-prefer gari isiyozidi cc 1300.
Ushauri tafadhali.
wenye uzoefu na magari nisaidieni, nahitaji kununua gari
my concern;
1. iwe na consumption ya mafuta kiasi...
2. mahali ninapoishi na ofisini ni km 20 kwenda 20 kurudi kila siku
3.most wkends nina misele ya mkuranga na mlandizi (nina vijibustani huko lol)
4. nafikiria kununua cami au swift je zitamudu hayo masafa? na je hazisumbui?
5. nilikuwa na gari yenye cc 2200 ila hiyo hela ninayopoteza kwenye mafuta naona ni bora niingize kwenye vijiproject vyangu huko mkuranga,nahitaji gari itakoyonimuvuzisha from point A to B full stop.
6. na-prefer gari isiyozidi cc 1300.
Ushauri tafadhali.
Nunua suzuki Kei cc 650,mafuta lita 5 inakwenda km 100.hii itakufaa zaidi
kama unaweza ku-afford mafuta ya mawazo - why to buy a car? get one stroke ki-Bajaji -- the point is to move from point A to B: as i do.wenye uzoefu na magari nisaidieni, nahitaji kununua gari
my concern;
1. iwe na consumption ya mafuta kiasi...
2. mahali ninapoishi na ofisini ni km 20 kwenda 20 kurudi kila siku
3.most wkends nina misele ya mkuranga na mlandizi (nina vijibustani huko lol)
4. nafikiria kununua cami au swift je zitamudu hayo masafa? na je hazisumbui?
5. nilikuwa na gari yenye cc 2200 ila hiyo hela ninayopoteza kwenye mafuta naona ni bora niingize kwenye vijiproject vyangu huko mkuranga,nahitaji gari itakoyonimuvuzisha from point A to B full stop.
6. na-prefer gari isiyozidi cc 1300.
Ushauri tafadhali.
Nununua baiskeli cc-00 inatumia TZ 11 sema safari yako itakuwa ya muda mrefu kufika but utapata kufanya mazoezi na afya kuimarika.
umeona eehh?halafu kipo strong mbaya,gari ndogo lakini performance ya v8,lol!msd zamani walikuwa navyo sana,wakauzianahicho kidude ukiweka lita 6 unawnda moro na kurudi
hii nimeikubali
hatimaye ng'ombe wamerudi zizini..!!! mtu angeambiwa akachonge tairi za kimasaiDuet pia ni nzuri