Gari ipi ndogo inayofaa kwa barabara za shambani

Gari ipi ndogo inayofaa kwa barabara za shambani

Suzuki Escudo toleo la 1993 ni Ngumu sana znavumilia halizote pia fuel consumption yake ni nzur ingawa ikiwa manual inakuwa nzur zaid mimi ninayo huu mwaka wa 15 still bado inaenda shamban kama unavoiona pichan ni namba AAB 664View attachment 774313
hii sehemu ina mandhari nzuri, iko kama sehemu flani za kigoma
 
Back
Top Bottom