ankol
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 2,355
- 4,260
Habari wanajamvi.
Nimeishi sana kwenye ka baby walker kwa muda sasa.
Natarajia mwakani niachane nako nipande hadhi japo kidogo.
Nakuja kwenu wana jamvi, wataalam wa masuala haya.
Nahitaji kujua gari ambayo running cost yake ni sawa na ka baby walker lakini kimwonekano inaonekana ni gari ya hadhi.
Natanguliza shukrani.