Gari ipi ni low budget lakini ukiwa nayo unaonekana unazo?

Gari ipi ni low budget lakini ukiwa nayo unaonekana unazo?

gari ambalo ukiwa nalo unaonekana unazo.???
kwa nini unataka kuonekana unazo ili hali baadhi ya walionazo hawataki au hawapendi kuonekana wanazo.???

2)kuna uzi humu jamaa aliuleta
akielezea nafasi aloyonayo kazini kwake na katika jamii inamfanya aonekane anazo na kupelekea watu kutaka kumkopa fedha,wengine wakimletea magari ya kifahari yanayouzwa anunue wakiamini anaweza kununua kanisani na shughuli mbalimbali anapewa nafasi ya mgeni rasmi au aongoze harambee,kadi za michango ya harusi analetewa za kutosha ,na mizinga mingi..hata mimi inanicost kuwa na kazi yenye jina katika jamii lakini mfukoni patupu..unaitwa DKT PHD lakini mfukoni patupu...ukubwa wa jina hauendani na kipato ni mbaya sana.
Wasanii wa burudani ikiwemo miziki na filamu maigizo stress za umaarufu au jina kubwa au kuaminika wanazo wakati hawana ilipelekea wengine kupata stress ...NI bora ukaonekana hauna lakini ukawa unazo kuliko kinyume chake.
 
dah akili zetu tulipoziwekez ndipo maisha yetu yanapoelekea..... ishi maisha usiishi kuishia mkuu utateseka sana
 
Unataka kununua aina gari ili uonekane unazo ? wakati hauna hadhi ya gari hiyo?
Mkuu nakushauri ununue gari kadri ya kipato chako na shughuli unazofanyia.
Kibongo bongo hata kibabywalk unaonekana unazo.
Acha kuwa na inferiority complex za kijinga.
Jifunze kuishi Kwa kiasi chako sasa ufikirie kununua gari ili eti uonekane unazo huo ni utoto
Huko ni kufake life waachie wasanii hayo maisha
 
Mzee hivi vidogo muda mwingine unakosa confidence kabisa. Kuna ile mnakutana family labda kwenye majanga. Afu unakuta wana family wenzako wamepaki magari. Sasa wewe kujiongeza unaenda park sehemu tofauti. Yani unakaficha kabisa ka bebi woka kako.
Kwanini ufiche?? Hujiamini?
 
Habari wanajamvi.
Nimeishi sana kwenye ka baby walker kwa muda sasa.
Natarajia mwakani niachane nako nipande hadhi japo kidogo.
Nakuja kwenu wana jamvi, wataalam wa masuala haya.
Nahitaji kujua gari ambayo running cost yake ni sawa na ka baby walker lakini kimwonekano inaonekana ni gari ya hadhi.
Natanguliza shukrani.
Toyota crown, bei yake ni sawa na IST
 
Mzee hivi vidogo muda mwingine unakosa confidence kabisa. Kuna ile mnakutana family labda kwenye majanga. Afu unakuta wana family wenzako wamepaki magari. Sasa wewe kujiongeza unaenda park sehemu tofauti. Yani unakaficha kabisa ka bebi woka kako.
Zama kwenye premio japo hujasema beb walker yako ni ipi?

#Hongera kwa kumiliki chuma town
 
Habari wanajamvi.
Nimeishi sana kwenye ka baby walker kwa muda sasa.
Natarajia mwakani niachane nako nipande hadhi japo kidogo.
Nakuja kwenu wana jamvi, wataalam wa masuala haya.
Nahitaji kujua gari ambayo running cost yake ni sawa na ka baby walker lakini kimwonekano inaonekana ni gari ya hadhi.
Natanguliza shukrani.
VW beetle ya 1978
 
Back
Top Bottom