una maanisha horse (Equus ferus caballus)?Nunua faras
Mzee hivi vidogo muda mwingine unakosa confidence kabisa. Kuna ile mnakutana family labda kwenye majanga. Afu unakuta wana family wenzako wamepaki magari. Sasa wewe kujiongeza unaenda park sehemu tofauti. Yani unakaficha kabisa ka bebi woka kako.Be you mzee!, nunua kwa lililo ndani ya bajet yako.
Chukua mini cooper20m budget mdau. Hebu nisaidie gari ipi iko na looking ya kipesapesa ila ina law running cost.
Hapa namaanisha fuel consumption, spare parts na vinginevyo.
Kwa hiyo hela labda sana sana angalia Passo20m budget mdau. Hebu nisaidie gari ipi iko na looking ya kipesapesa ila ina law running cost.
Hapa namaanisha fuel consumption, spare parts na vinginevyo.
Land Cruiser 300 V6Habari wanajamvi.
Nimeishi sana kwenye ka baby walker kwa muda sasa.
Natarajia mwakani niachane nako nipande hadhi japo kidogo.
Nakuja kwenu wana jamvi, wataalam wa masuala haya.
Nahitaji kujua gari ambayo running cost yake ni sawa na ka baby walker lakini kimwonekano inaonekana ni gari ya hadhi.
Natanguliza shukrani.
Habari wanajamvi.

Ushauri mzuri sana, akinunu nje ya uwezo hata one raha kulimilikiBe you mzee!, nunua kwa lililo ndani ya bajet yako.